Wakazi wa kijiji kimoja cha kaskazini mwa Afghanistan wamesema
kuwa askari wa Marekani wamewanajisi wanawake kadhaa wakati wa msako wa
nyumba kwa nyumba uliofanywa na askari hao katika nyumba zao.
Wakazi wa kijiji hicho wanasema tukio hilo lilijiri eneo la Chahar Bolak kwenye jimbo la Balkh ambako kikosi maalumu cha jeshi la Marekani kilifanya msako wa nyumba kwa nyumba.