Pages

Saturday, October 13, 2012

VURUGU ZA MBAGALA

                  hizi na baadhi ya picha ya  tukilio lililotokea jana,,, huko mbagaya jijini der-es-salam
WATU wanaodaiwa kuwa ni Waislamu wamevamia makanisa mbalimbali yaliyopo Mbagala Kizuiani jijini, Dar  wakihamasisha vurugu wakimtuhumu mtoto Emmanuel Josephat kuwa amekojolea kitabu cha dini hiyo (Ms-hafu) Oktoba 10, mwaka huu.
Baadhi ya makanisa yaliyoshambuliwa ikiwa ni pamoja na kuchomwa moto magari yao ni  Kanisa la Sabato, Aglikana na T.AG .
(PICHA/HABARI: ERICK EVARIST/GPL)



















No comments:

Post a Comment