Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Bunge la Iran pia amekumbusha mashambulizi ya siku 8 ya Wazayuni dhidi ya Gaza na kusema kwamba, harakati ya Hamas lililazimika kutumia silaha baada ya kuzingirwa kikamilifu na Israel na haipaswi kuwekwa katika orodha ya magaidi na makundi kama al Qaida na Taliban.

No comments:
Post a Comment