Wakati huohuo, Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa, biashara ya mafuta imevuka kwenye hali ngumu ya vikwazo na hivi sasa iko kwenye kilele cha ustawi. Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Ulaya zinafanya njama za kuiwekea vikwazo Iran kwa madai kwamba Tehran inataka kutengeneza silaha za nyuklia, madai ambayo yamekadhibishwa mara kadhaa na viongozi wa ngazi za juu wa Iran na kusisitiza kuwa miradi ya nyuklia ya Tehran inafanyika kwa malengo ya amani.

No comments:
Post a Comment