kimataifa hususan asasi za haki za binadamu kuchukua hatua za lazima ambazo zitazuia kuendelea jinai za Wazayuni dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina. Ramin Mehmanparast amezikosoa pia siasa za kindumakuwili za madola ya Magharibi kuhusiana na kadhia nzima ya Palestina na kulaani himaya na uungaji mkono wa madola hayo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai kila uchao huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

No comments:
Post a Comment