nchi hiyo wametumwa nchini Jordan ili kudhibiti hali ya mambo katika mipaka ya Jordan na Syria. Wanajeshi wa Uingereza na Marekani wametumwa Jordan ili kuimarisha nafasi yao katika machafuko yanayoendelea huko Syria. Hii ni katika hali ambayo Jordan kila mwaka hupokea msaada wa kijeshi kutoka Marekani wa thamani ya dola milioni 500 huku idara za kijasusi za nchi hiyo zikishirikiana na mashirika ya Marekani.

No comments:
Post a Comment