Ni siku ambayo zanzibar haitosahaulika kwa yalio tokea,,,, barabara zlifungu kwa mawo na kuchomwa
mtoto mipira ya gari,,,,,,, ni watu walio sababisha kutoke mambo yale kwa shindikizo la watu binasfi ila kuipa sifa mbaya jumuiya ya uamsho kutokana na kitendo kilicho fanya na serekali kumkamata sheikh Mussa Juma
kuna baadhi ya vyombo vya habari vinasema kua uamsho ndio imefanya hivi bali uamsho imekataa kitu hicho na iwaseme kua ":hiki kikundi kimetumwa kwaajili ya kuichafulia jumuiya ya uamsho"
No comments:
Post a Comment