makamo wa pili wa zanzibar malim seif sharif hamad akitoa
zawadi kwa baadhi ya wanafunzi wa madrasa hio
malim seif akiwa na baadhi ya wahitimu wa madrasa
akitoa zawadi kwa mhitmu wa kike
Wanafunzi
wa kike wa madrasat Nuur Islamiya ya Ukutani Zanzibar
wakisoma kasida
katika mahafali ya 14 ya madrasa hiyo
yaliyofanyika skuli ya Haile
Sellassie mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment