skip to main |
skip to sidebar
WAISLAM NIWENGI TANZANIA - CIA
Mainland - Christian 30%,
Muslim 35%, indigenous beliefs
35%; Zanzibar - more than
99% Muslim. Source:CIA web
page.Updated
13/04/2012 (Tanzania bara- Wakristo
30%,Waislam 35% na imani
nyingine 35%
Zanzibar-zaidi ya 99% ni
Waislam) Taarifa hii
niyakuaminika kwakuwa Shirika la ujasusi la
Marekani lina mawakala kila
mahali.
Taarifa hii imechapwa na CIA
katika mtandao wao tarehe
13/04/2012. Tanzania kwa muda mrefu
sana haijafanya sensa kwa
kutazama imani za watu wake
lakini chakushangaza hivi
karibuni TBC1 wamejitokeza na
kusema wakristo ni 52%,Waislam 32% na imani
nyingine ni 16%.Huu ni uongo
kwakuwa Tanzania haijawahi
kufanya sensa kwa kutazama
makundi ya dini za raia wake.
Kauli ya TBC ni kauli ya serikali,hivyo serikali itueleze
sensa hiyo ilifanyika lini na
ninani aliisimamia.
Endapo TBC na serikali
hawatasema takwimu hizo
wamezikusanya lini na vipi basi Waislam wote Tanzania
hatutashiriki katika sensa ya
mwaka huu. Ni vipi tuamini
kama serikali
inashindwa kujua idadi ndogo
tu ya wafanyakazi wake na mwisho kupoteza mabilioni ya
shilingi?
Kama hilo limewashinda
wamewezaje kutuletea
takwimu hizo za uwongo?
Lengo la kuleta takwimu hizi za wakristo 52% ni lipi?
Iko wazi! Sensa ya mwaka huu
tayari imepikwa! Na pili
kuwatega watu kisaikolojia
waamini wakristo ni wengi
hivyo wanahaki ya kuwa wengi serikalini na kwenye
mashirika.
Serikali itupe maelezo ya kina
la sivyo Waislam hatutashiriki
katika sensa ya Mwaka huu.
Kuchelewa kwa serikali na shirika lake la habari
kutasabisha kampeni ya
kuwaeleza Waislam
kutokushiriki sensa ya mwaka
No comments:
Post a Comment