kiukweli sio ungwana maana wanachokidai ni haki yao na sio jengine
haya ni maeneo ya round about wananchi wameweka
mawe kutokana na tukio la kumkamata kiongozi mmoja wa uamsho
hapa ni maeneo ya mlandege,,,,, wananchi wamechoka moto
baadhi ya taka taka na mipira ya gari
No comments:
Post a Comment