Kadhi Mkuu wa Zanzibar Khamis Haji Khamis na Viongozi wa Jumuiya za
Dini Zanzibar wakisalia maiti zilizotambuliwa na jamaa zao kwa ajili ya
kwend kuzika na zile ambazo hazikutambuliwa huzikwa na Serekali katika
Makaburi ya Kama.
Mananchi Raia wa Kenya wakiwa katika viwanja vya maisara wkipanga
utaratibu wa kuweza kuisafirisha maiti ya ndugu yao Matina Masila,
aliyefarika katika ajali ya hiyo, wakisugiri utaratibu unaofanywa na
Kitengo cha Maafa Zanzibar.
Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni kiwa na wananchi wa jimbo
lake waliofika katika viwanja vya maisara ili kutambua miili ya jamaa
zao.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliofika katika viwanja vya
maisara vilivyotengwa kwa ajili kutambua miili ya marehemu wa ajali ya
boti iliotokea juzi katika bahari ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment