zanzibar yametokea tena yale yale yalio tokea miezi iliopita. mola tuokoe kwa hili na lile,,,,,, inasemekana kuw boti iyo baada ya kupigwa na wimbi kubwa nahodha wa boti iyo aliwambia abiria kua ''boti ipo salama sana ila tunakuombeni abiria mtulie'' dakika chache baada kutolewa tamko ilo ghafla meli ilibiruka mnamo 9:30 jioni. baada ya vyombo vya habari vya serekali kufika ndipo uokozi ukaanza mnamo 10:45 jioni,
baadae baadhi ya wahagha kupatikana na kulikua na mahojiano ya hapa na pale miongoni mwao alisema kua '' meli baada ya kupinduka wingi wetu walizama moja kwa moja na wachache tulikua juu ya mgongo wa boti''
,,,,,,, kwa hayo machache na inshallah kwa kila litakalo endelea tutawajuulisha inshallah,,,,,,
WALLAHU A'LAM
hawa ni baadhi ya watu walio ukolewa baada ya meli iyo kuzama
inasemekana kua huyu ni mtu wa mwazo kuokolewe baada ya meli kuzama
baada ya dakika chache meli baada ya kupigwa na wimbi lililo ambatana na upepo mkali sana meli ilizama kwa muda mfupi sana
hawa ni watalii walio ukolewa katika ajali
hawa ni baadhi ya wana nchi wa zanzibar katika ufukwe wa forodhani wakiwa wangali hali inavoendelea
ni baadhi ya watu wali okolewa taki ajali iyo
waandishi wa habari nao hawakukaa nyuma katika kuifata serekali na kutaka tamko juu ya ajali hii ingawa serekali imesema kua meli ilibeba abiria 250 bali kuna baadhi ya mitandao ya simu imetuma ujumbe kua watu walikua zaidi ya 400
spika wa baraza la wakilishi akisalimiaana na baadhi ya viongozi katik bandari kuu ya zanzibar
miongoni mwa meli zilizo toa msaada wa kuchukua majeruhi
hawa ni baadhi ya maiti zilizo patikana
boti y flying huose ikieleweke katika eneo la tukio
baada ya kupinduka wache walikua juu ya mgongo wa boti
hawa ndio walio okolewa wakiwa wazima kabisa
na baadhi ya abiria walipata vifaa vya uokoaji katika boti iyo baada ya kuzama
helkopta nayo haikukaa nyuma katika kuonesha sehemu ilio zama boti
No comments:
Post a Comment