skip to main |
skip to sidebar
Afrika Kusini kutuma wanajeshi Kongo DRC
Jeshi la Ulinzi wa Taifa la Afrika Kusini (SANDF) limesema kuwa
litatuma wanajeshi wake huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kama
sehemu ya kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kusimamia usalama mashariki
mwa nchi hiyo. Hayo yamesemwa leo na Brigedia Jenerali Xolani Mabanga wa
Jeshi la Ulinzi wa Taifa la Afrika Kusini. Baraza la Usalama la Umoja
wa Mataifa wiki iliyopita lilipasisha azimio lilioidhinisha kutumwa
kikosi cha uingiliaji kati huko Mashariki mwa Kongo ambapo serikali ya
Afrika Kusini pia iliahidi kuchangia wanajeshi wake katika kikosi
hicho. Hata hivyo Brigedia Jenerali Mabanga amesema kuwa, bado
haijafahamika tarehe ya
No comments:
Post a Comment