Kutambulishwa jukwaani Shekh Ponda.
Askari wa FFU wakijisongeza kati kati ya uwanja mara baada ya muda wa kongamano kumalizika.
Kikosi cha FFU uwanjani
Shekh
Ponda akikaribishwa kwenye jukwaa kuu baada ya kuwasili kwenye viwanja
vya shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege , mjini Morogoro
Shekh Ponda akisalimiana na Mhadhiri wa Mihadhara nchini, Ustaadhi Abubakari
Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Kongamano , Augosti 10, mwaka huu mjini Morogoro
Shekh Ponda akiteta jambo na baadhi ya Viongozi wa umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro
Shekhe Ponda akiwa meza kuu kwenye kongamano hilo
Shekhe Ponda akiwa amezingirwa na waumini
Umati wa waumini wa Kiislamu wakimsikiliza Shekh Pond
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa mjini Morogoro wakimsikiliza Shekh Ponda |
Waumini wa Kiislamu wakitawanyika uwanjani baada ya muda wa kongamano kufikia tamati,
No comments:
Post a Comment