((عن أبي هريرة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: ينزل ربنا تبارك وتعالى كل ليلة إلى السماء الدنيا حين يبقى ثلث الليل الآخر فيقول: من يدعوني فأستجيب له؟ من يسألني فأعطيه؟ من يستغفرني فأغفر له)) رواه الجماعة.
((Imetoka kwa Abu Hurayra (Radhiya Allahu 'anhu) kwamba Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) Amesema:
Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Huteremka kila siku katika mbingu ya
dunia (mbingu ya kwanza) inapobakia thuluthi ya mwisho ya usiku na
Husema: Nani ananiomba Nimtakabalie? Nani Ana shida nimtekelezee? Nani
ananiomba maghfira Nimghufurie?)) [Imesimuliwa na kundi la wapokezi wa Hadiyth]Saturday, August 4, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment