Social Icons

rss feed facebook twitter google plus linkedin youtube email

Thursday, August 2, 2012

DUA IKO PALE PALE

Amir Farid Hadi ametangazia leo kuwa dua iko pale pale wala haijahairishwa kama baadhi ya watu wasiotakia kheri nchi hii wanavopiga propaganda hyo.
Ila kuna mabadiliko kidogo kuwa dua haitofanyika teka mskiti wa mbuyuni kama ilivotangazawia mwanzo badala yake itakuwa Masjid Afra wa kidongechekundu.
Imehamishiwa huko bada kuonekanwa mskiti wa mbuyun ni mdogo na hakuna eneo la kutosha kwa ajili ya uchinjaji ng'ombe.
...
Siku hiyo tunategemea kuchinja ngombe 7 mpaka 11.ambo 7 tayar washapatikana lengo nikumuangamiza kila mwenye nia mbaya na nchi yetu.
Vile vile Amir kasisitiza kila mwenye mtoto yatima amlete siku hyo kazi yao kubwa waje kuitikia dua tu.
Kwahyo waislamu nyote musikose siku hyo ya mwezi 17 kuhuduria dua zinanza sa 4 asubuhi. Hapo masjid Afra.

Wabilah taufiq

No comments:

Post a Comment