vijana wakutana na familia ya marehemu fiqhi ,,,,,, vijana hao walikutana na upandeawa familia ya marehemu na kubadilishana mawazo huku likiwalengo kuulakikao hicho ni kutoa ubani juu ya kipenzi chao, rafiki yao fiqhi
aidha vijana haio walijadili jinsi ya kusaidiana kwa urifiki wao na siourafiki huokuishia kwenye mitanda ya kijamii kami vile facebook twitet n.k
aidha vijana haio walijadili jinsi ya kusaidiana kwa urifiki wao na siourafiki huokuishia kwenye mitanda ya kijamii kami vile facebook twitet n.k
vile vile alichaguliwa bi zahra muhammed kua nimshika fedha akisaidiana na mustafa pamoja na hussein ambae ni kaka wa marehemu.
Alhamdulillah katika kikao cha ambacho kimefanyika Alaasiri ya leo Jamhuri Garden kwa ajili ya kujadili njia ya kuweza kutoa mchango wetu kwa ajili msiba wa mwenzetu FIQHI MOHAMMED HUSSEIN tumeweza kukusanya Shilingi 115,000/- michango bado inaendelea na kuna account za EASY PESA, MPESA, TIGO PESA NA AIRTEL MONEY ambazo zitafunguliwa kuanzia ksho inshallah ili wale ambao hawakuweza kufika gani leo na wana nia ya kuchangia waweze kufikisha michango yao kwa njia hizo ama kwa wenzetu amabao wako nje ya Zanzibar na wangelipenda kutoa michango yao, utaratibu unaandaliwa na watajuulishwa haraka iwezekanavyo
No comments:
Post a Comment