QWaziri wa Uchukuzi Tanzania, Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akisaini Mkataba kwa niaba ya Tanzania
Waziri wa uchukuzi, Mhe. Waziri wa Mwakyembe (Mb) akibadilishana
Mkatana na Waziri anayeshughulikia masuala ya Usafiri wa Ujerumani mara
baada ya Mkataba huo kusainiwa.
Waziri wa uchukuzi, Mhe. Mwakyembe (Mb) akimkabidhi zawadi Waziri mwenzake mara baada ya Mkataba kusainiwa
Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika majadiliano kabla ya kusainiwa Mkataba husika
No comments:
Post a Comment