skip to main |
skip to sidebar
Walibya wakabidhi mamia ya silaha kwa jeshi
Walibya wamekabidhi mamia ya silaha kwa jeshi katika miji ya
Benghazi na Tripoli kama sehemu ya mpango wa kukusanya silaha kutoka
mikononi mwa raia ulioratibiwa na jeshi unaoyalenga makundi yenye
silaha. Silaha mbalimbali yakiwemo maroketi na bunduki zimekabidhiwa kwa
jeshi, katika mpango huo uliotangazwa kupitia runinga ya taifa.
Mohamed Magarief Kiongozi wa Kongresi ya Taifa ya Libya ameapa
kukabiliana na makundi yanayomiliki silaha kinyume cha sheria baada ya
tukio la kuuawa balozi wa Marekani Christopher Steven nchini humo
Septemba 11. Taarifa zinasema kwamba, katika mji wa Benghazi pekee
zaidi ya raia 800 walikabidhi silaha kwa jeshi na kwamba zaidi ya silaha
No comments:
Post a Comment