Social Icons

rss feed facebook twitter google plus linkedin youtube email

Tuesday, January 22, 2013

WAZIRI WASHERIA NA KIBARAKA WA KANISA...........AISHITUMU UAMSHO... ASEMA KIKUNDI CHA KUANZISHA FUJO......VIONGOZI WAKE LAZIMA WADHIBITIWEE..



Wazir wa Sheria na Katiba Zanzibar Abubakar Khamis .Amesema nchi sasa imetulia naimerudi katikahali ya Amani kama ilivokuwa awali baada ya viongozi wa UAMSHO kuwa ndani.
Akisema hayo katika uzinduzi wa Baraza la Maulamaa wa zanzibar.Akisisitiza kuwa Uamshioni kikundicha Fujo lazima wadhibitiwe wao pamoja viongozi wao.
Kwa maana hiyo Abubakar anaungana na Kanisa na Maskofu walivoishutumu serikali kuwa wanaiwachia uamsho kwani ni kikundi cha Fujo na wanavunja Amani.



Mh Abubakar kilasiku zikenda anazidi kudhihirisha uovu wake namakucha yake kwawananchi wa zanzibar kwani ukisema UAMSHO ni WAZANZIBAR.

Waanzilishi wa Fujo sisi au wao auserikali yake tuseme alisahau pale alipoekewa bunduki na mwana jeshi katika uchaguzi wa bububu....Leo hiii hawajui na kawasahau wanzilishi wa Fujooo nchi hiii.....

Lakini tunajua kwanini anasema hivo yote ni kuetembea nakupanda gari la bure na kuwasha ic full time hataki akose raha kama hizondo mana yuko tayari kuuza dini yake,utu wake na hata uzalendo wake ili mkono uende mfukoni.......
Inshallah kwa maneno yake sisi hatutishi wao kama wameamua kuwaweka ndani viongozi nakuwadhalilisha waendeleee.....lakini wafahamu .......Nusra karibu itakuja na watakuja kujuta pindi adhabu ya molawake itakapomjia.
Ila wafahamu sisi hatutorudi nyuma kusimamia na kuipigania Haki hata kama yeye na VIBARAKA WENZIWE WATACHUKIA.
TUTAKULA NAE SAHANI MOJA KARIBU........

TUACHIWEEE TUWEKE DOLA YA KIISLAMU.......

No comments:

Post a Comment