Kampuni ya Azam Marine
ikifanya utanuzi wa bandari inayotumia meli yake ya Mv Sea Link ili
kuongeza kima cha maji ya bahari katika eneo hilo lilinalotumika na meli
yake kwa kupakilia abiri na mizigo katika banmdari hiyo.Kima cha maji
katika eneo hilo huwa ndogo wakati wa maji kutoka na kusababashi
usumbufu kwa wakati huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment