Social Icons

rss feed facebook twitter google plus linkedin youtube email

Wednesday, October 2, 2013

BREAKING NEWSS!!!! : TAZAMA PICHA ZA VURUGU ZINAZOENDELEA KWA SASA MBEYA, MABOMU YATAWALA.


Photo: .... Mwanjelwa, Matokeo ya Vurugu zilizotokea punde





 Polisi wakiwa katika ulinzi mkali 
 Maduka yakiwa yamefungwa 
 Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini  hatma yao
 Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
 Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
 Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
 Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia 
 Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
 Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....

Chanzo cha vurugu ni WAFANYA BIASHARA KUGOMA KUNUNUA MASHINE ZA TRA ZENYE THAMANI YA THS 800,000 JIJINI MBEYA, MADUKA YAFUNGWA.