Assalaamu Alaykum,
Wapenzi Waislamu wa
mji wa Leicester na vitongoji vyake, kwa mara nyingine
JUMUIA YA ANNOOR LEICESTER
ina furaha kukualikeni katika
Sherehe za Eid ul
Adh-ha hapo JUMANNE 15 Oktoba 2013
Ambazo kwa mara ya
kwanza katika historia zitafanyika katika jengo letu jipya Inshaallah.
EID TAKBEER zitaanza saa
mbili na robo asubuhi (8.15am)
SALA YA EID itasaliwa saa
tatu kasorobo asubuhi (8.45am)
STAFTAHI ya pamoja baada
ya Sala
ANWANI: Masjid An Noor Leicester,
170a Belgrave Gate, Leicester, LE1 3XL
Tafadhali wasiliana
nasi kwa mchango wako kama kawaida ya miaka yote
Asaa Kakuzi 07951
644936
Malik 07983 614261
Au e mail Madrasatulnoor.01@gmail.com
EID MUBAARAK !! KULLU AM WA ANTUM BIKHAYR !!