Leo
ametutoka Mwanachuoni Mkubwa katika Wanachuoni wa Madh-hab ya Imamu
Shafiih , Mwanachuoni ambaye Ni rejeo katika Elimu ya Fiqh na Usuul l
fiqh Sheikh Ahmad bin Abdullahi Adughaan M/Mungu Amrehemu na Ampokee
Mapokezi Mema na Ampe Pepo ya Daraja ya Juu yeye pamoja na Wazazi wetu
wote waliotangulia Mbele ya Haki awakutanishe na Mtume Muhammad (S.A.W)
Rehma za M/Mungu zimshukie Juu yake na Amani pamoja na Waja Wema.
Amiin .
Amefia katika Nchi ya Saudia Arabia.
انتقل
اليوم إلى رحمة الله مُفتي السّادة الشّافعية بالأحساء الإمام العارف
بالله الفقيه الأصولي المُسند المُحقّق الجليل، أستاذ الأجيـــال ومُجدّد
المدرسة الشافعية بشرق المملكة العربية السعودية،الشيخ أحمد بن عبد الله
الدُّ وغـــان الخالدي الأحسائي الأشعري الشافعي
رحمه الله تعالى وأسكنه الفردوس الأعلى وجزاه عنا وعن طلابه خير الجزاء.
رحمه الله تعالى وأسكنه الفردوس الأعلى وجزاه عنا وعن طلابه خير الجزاء.