Ghati
Chacha (21) mkazi wa kijiji cha Nyanitira kata ya Nyansincha Wilayani
Tarime amesababishiwa kilema cha maisha kwa kukatwa mguu wake wa kulia
na Mume wake baada ya kuchelewa kumfungua mlangao nyakati za usiku.
Akisimulua
mkasa huo hivi karibuni akiwa wodi namba sita alikolazwa akiuuguza
vidonda na majeraha,Ghati alisema, mume wake aliye mtaja kwa majina ya
Chacha Mwita(23) alifika nyumbani saa mbili usiku akiwa amelewa.