Social Icons

rss feed facebook twitter google plus linkedin youtube email

Monday, October 22, 2012

SHEIKH FARIDI AKIONESHA ISHARA YA AMANI

SHEIKH FARIDI AKIONESHA ISHARA YA AMANI NA USHINDI WAKATI AKISHUKA KWENYE GARI CHINI YA ULINZI MKALI HAPO MAHAKAMANI M/KWEREKWE ZANZIBAR. INSHALLAH TUTAIKOMBOA NCHI YETU KWA UWEZO WA ALLAH KWANI HAKUNA MWENYE UWEZO WAKUBADILISHA WAKATI NA KWA SASA WAKATI UMEFIKA WA WAZANZIBAR KUTAKA NCHI YAO.

Hakuna njia rahisi kuelekea kwenye Uhuru. Tuweni wenye ustahamilivu mengi yatatupata na kututatiza lakini
tuweni wenye kujiamini na kuamini kuwa Ushindi wetu uko karibu... Hakika uko karibu, Hakika tunaweza.

INSHALLAH WAZANZIBAR TUPO NA NYINYI KWA HALI NA MALI NA HATUTOWASALITI WALA KURUDI NYUMA MPAKA TUIKOMBOE ZANZIBAR YETU KUTOKA KWENYE MIKONO YA WATANGANYIKA.

PAMOJA TUTAISIMISHA ZANZIBAR YETU.
JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR NDIO DIRA YETU.

JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR - KWANZA

No comments:

Post a Comment