Nyota mbili kubwa za ZNZ, al-Habib al-'Allamah al-'Arif billah Sayyyid Ahmad bin Husayn Ibn Shaykh Abi Bakr bin Salim na al-Habib al-'Allama al-'Arif Billah Sayyid Umar bin Abi Bakr bin Sumyat wakiwa nje ya nyumba ya Balozi Abbas Syks (Mkuu wa Mkoa wa DSM, wakati huo-amesimama nyuma yao) walipokwenda kumtembelea nyumbani kwake DSM, baada ya kuweka jiwe la msingi la Msikitu Mkuu wa Ujumaa DSM, 1962.
Habib Umar na Habib Ahmad bin Hussayn walialikwa rasmi na Jumuiya ya Msikiti wa Ijumaa kwendakuwekajiwe la msingi la kuupanua msikiti huo na kuwa Msikiti Mkuu wa Ijumaa
No comments:
Post a Comment