WATU
wanaodaiwa kuwa ni Waislamu wamevamia makanisa mbalimbali yaliyopo
Mbagala Kizuiani jijini, Dar wakihamasisha vurugu wakimtuhumu mtoto
Emmanuel Josephat kuwa amekojolea kitabu cha dini hiyo (Ms-hafu) Oktoba
10, mwaka huu.
Baadhi ya makanisa yaliyoshambuliwa ikiwa ni pamoja na kuchomwa moto magari yao ni Kanisa la Sabato, Aglikana na T.AG .
(PICHA/HABARI: ERICK EVARIST/GPL)
Baadhi ya makanisa yaliyoshambuliwa ikiwa ni pamoja na kuchomwa moto magari yao ni Kanisa la Sabato, Aglikana na T.AG .
(PICHA/HABARI: ERICK EVARIST/GPL)
No comments:
Post a Comment