Baadhi ya Wajumbe walioshiriki katika Semina ya Uwelewa juu ya Athari
za Uvuvi Haramu na Udhibiti wake unaotokana na Sheria mpya ya Uvuvi
namba 7 ya mwaka 2010.huko katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni
nje ya Mjiwa Zanzibar.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdillahi Jihad Hassan akifungua Semina
kuhusu Uwelewa juu ya Athari za Uvuvi Haramu na Udhibiti wake unaotokana
na Sheria mpya ya Uvuvi namba 7 ya mwaka 2010.huko katika Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Mkurugenzi wa wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Mussa Aboud Jumbe
akionyesha Nyavu za kukokota ambazo ni hatari kwa kuuwa matumbawe na
mazalio ya Samaki katika Semina kuhusu Uwelewa juu ya Athari za Uvuvi
Haramu na Udhibiti wake unaotokana na Sheria mpya ya Uvuvi namba 7 ya
mwaka 2010.huko katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni nje ya Mji
wa Zanzibar.
Mkurugenzi wa wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Mussa Aboud Jumbe katikati
akionyesha Dema lililotengenezwa kwa Waya ambalo ni baya kwa kuharibu
Matumbawe na kuvuwa samaki wachanga katika Semina kuhusu Uwelewa juu ya
Athari za Uvuvi Haramu na Udhibiti wake unaotokana na Sheria mpya ya
Uvuvi namba 7 ya mwaka 2010.huko katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Mkurugenzi wa wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Mussa Aboud Jumbe
akionyesha Kikopo ambacho hutumika kwa Kuvulia Pweza na kinacho kubalika
kisheria katika Semina kuhusu Uwelewa juu ya Athari za Uvuvi Haramu na
Udhibiti wake unaotokana na Sheria mpya ya Uvuvi namba 7 ya mwaka
2010.huko katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni nje ya Mji wa
Zanzibar.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.20/12/2012
No comments:
Post a Comment