Maafisa wa uwanja wa ndege wa Lusaka wametangaza kuwa, ndege ya
abiria imeanguka wakati ilipokuwa ikitaka kutua lakini watu wasiopungua
20 wamenusurika. Ndege hiyo ilikuwa na abiria 93 na ililazimika kutua
kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Lusaka lakini ilipata ajali.
Idadi kamili ya wahanga bado haijajulikana lakini abiria wasiopungua 20
wamepatikana wakiwa wazima.
Ngede hiyo ilikuwa imebeba abiria 85 na wahudumu nane. Shughuli za uokoaji zimeanza mara tu baada ya ajali hiyo na bado zinaendelea.
Ngede hiyo ilikuwa imebeba abiria 85 na wahudumu nane. Shughuli za uokoaji zimeanza mara tu baada ya ajali hiyo na bado zinaendelea.
No comments:
Post a Comment