BANGALADESH, India
WAKATI mwingine maisha ya ndoa hugeuka kuwa shubiri.
Wapo watu wengi walioathirika katika maisha ya ndoa akiwamo Nurbanu.
WAKATI mwingine maisha ya ndoa hugeuka kuwa shubiri.
Wapo watu wengi walioathirika katika maisha ya ndoa akiwamo Nurbanu.
Ingawa mpaka leo bado Nurbanu anaisha na makovu kutokana na ukatili
aliofanyiwa na mumewe, lamelazimishwa kuendelea kuishi na mwanamume
huyo, ambaye alimmwagia tindikali usoni baada ya kubaini kuwa, mumewe
hakuwa mwaminifu.
Nurbanu anayeishi Bangaladesh, alipata majeraha hayo miaka 18 iliyopita baada ya kuolewa.
Nurbanu anayeishi Bangaladesh, alipata majeraha hayo miaka 18 iliyopita baada ya kuolewa.
Nurbanu aliamua kutalikiana na mumewe baada ya kumfumania akiwa na
mwanamke mwingine na suala hilo ndilo lililopelekea ukatili huo.
Siku nane baada ya talaka, alikuwa akipika nyumbani kwake, mumewe huyo alishuka katika pikipiki na kumwagia tindikali usoni na alimwacha na upofu na majeraha yasiyopona.
Mumewe huyo ambaye kwa sasa ana miaka 36.

Nurbanu bado anaishi na mumewe huyo baada ya mama yake mzazi,
kumlazimisha asaini hati ya kiapo na kumtoa mumewe gerezani kwa msamaha
baada ya shambulio.
Mume wa Nurbanu alikuwa mafichoni kwa muda na aliendelea kutafutwa na
mahakama kufuatia kosa hilo. Lakini alikamatwa miezi kumi baadaye na
kufungwa kwa miaka kadhaa kwa mujibu wa Shirika la Habari la The
Huffington Post.
Mama yake alilipia fedha ya dhamana na kumtoa mwanawe kwa dhamana,”
alisema Nurbanu, ambaye alizaliwa katika maeneo ya Satkhira huko Kusini
Magharibi mwa Bangaladesh.
“Alinilazimisha nitie saini ya kiapo ili atolewe. Aliwatumia watoto wangu kunisisitiza niolewe tena na baba yao.” anasema.
“Alinilazimisha nitie saini ya kiapo ili atolewe. Aliwatumia watoto wangu kunisisitiza niolewe tena na baba yao.” anasema.
“Watu watafikiri kuwa mume anamwangalia kwa ukaribu zaidi mkewe
ambaye kwa sasa ni kipofu, lakini kitu kama hicho hakipo,” anasema
Nurbanu.
Anasema anadai kuwa, mbali na kilema alichoachiwa, mpaka sasa mume wake anaendelea kumpiga na kumpa vitisho.
Anaongeza: “Hivi ndivyo maisha yangu yanavyosonga na sioni chochote ni maisha magumu sana.”
Anaongeza: “Hivi ndivyo maisha yangu yanavyosonga na sioni chochote ni maisha magumu sana.”
Nurbanu, ambaye hawezi hata kuandaa chakula kwa ajili yake kutokana
na ukatili aliowahi kufanyiwa na mumewe ni mmoja kati ya maelfu ya
wanawake wanaokutana na ukatili wa kijinsia nchini India.
No comments:
Post a Comment