Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa Mufti
wa Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga ambaye amelazwa katika chumba cha
dharura katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufuatia majeraha ya
usoni na kifuani yaliyotokana na kurushiwa Tindikali na watu
wasiojulikana wakati akifanya mazoezi katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe
mjini Unguja asubuhi ya leo. Rais ambaye amerejea leo Jumanne Novemba
6, 2012 akitokea katika ziara ya kikazi ya takriban juma moja katika
mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida, amemtakia Sheikh
Soraga nafuu ya haraka PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment