Social Icons

rss feed facebook twitter google plus linkedin youtube email

Tuesday, November 6, 2012

WAZANZIBAR TUNATAKIWA TUWE MACHO IKIWEZEKANA TUMWIRIKE NA KURUIZI



WAZANZIBAR  TUNATAKIWA TUWE  MACHO  IKIWEZEKANA TUMWIRIKE NA KURUIZI
Kwa sasa Zanzibar inapita katika mkondo kubwa sana wenye upepo na mawimbi hivyo ni lazima wazanzibar chombo chetu kifike salama
Zanzibar kwa sasa imejaribiwa majaribio mengi sana tukianzia na majaribio ya kuchoma makanisa kuchoma ma bar ,kwa nini imekuwa hivi ,sababu ni kuwa wazanzibar wameibuwa wimbi kubwa la kuidai nchi yao iliyo kuwa ndani ya jinamizi la muungano
Wazanzibar kufuatia umoja wao wanaendeleze wimbi hili  hivyo imekua sumu kwa wahafidhina na maharamia wa Zanzibar
Sasa wahafidhina wanatumia njia tofauti ili kutaka kuwagawa wazanzibar ili wasiendelee na msimamo waoo
1)Njia ya kwanza ni kukizuiya kikundi cha uamsho kwa kutaka kukukifanya kikundi cha booko haram au cha alkaida mbele ya mataifa ya kimaharibi  mbinu hii kwa wahafidhina haikufuwa dafu mbele ya uma wa wazanzibar
2)mbinu ya pili ni kuchoma makanisa ili ionekane Zanzibar kuna mgawanyiko wa kidini na waisilamu walio wengi wanawadhalilisha wakristo na   watu wa dini nyengine  ili mataifa nya magharibi yasione yale malengo na shabaha za wazanzibar
3)kufanya vurugu katika uchaguzi mdogo wa bububu ili kuchafua hali ya hewa ya kisiasa ili ili kuvunja serekali ya umoja wa kitaifa ambayo ni mkuku na foromali ya jahazi ya wazanzibar ambayo itawavusha katika mawimbi na kuwafikisha ufukwe wa jamuhuri ya watu wa nanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa, shambulio la jaribio hili limeshindikana
4)shambulio la mwisho linalo andaliwa na wahafindina na maharamia ni kutaka kuwagawa waisilamu wenyewe ,ila shambulio hili halita fanikiwa sababu Zanzibar mabishano ya mwezi hayapo wanao funga kwa mwezi wa kimataifa mwezi wa maka mwezi wa songea au mwezi unao andamishwa na shekhe Fadil suraga wote hula maanzazi na vileja pamoja ,ukitaka utaswali Lumumba au Malindi hakuna mtu anabugudhiwa

Shambulio hili lilichelewa sababu likiambatanishwa na kupotea shekhe FARID basi halifanani maana ilikuwa lipangwe kama mbwa mbaya mbaya  liende sambamba  tukio
Pia shambulio linalo ambataniswa na kupotea shekhe faridi  kuzunka mbwa mbaya kuendana na tukio la kutoweka sheke basi pia limesha feli sababu mbwa walijisahau na kuingia mitaani hata baada ya kuonekana shekhe faridi  sasa mbwa wabaya  wameingia vichaa wanatafuna watu hali ya kuwa serekali imenyamaza haifungii mbwa wake  mbwa ilikwa wafungiwe baada ya kumaliza tokeo la kupote shekhe lakni wahafidhina na maharamia hawakujuwa kuwa kuachia mbwa ni kuharibu mbinu zao
Sasa kilicho baki ni kuwa wanajaribu kutia  waisilamu tindi kali ili wawasingizie waisilamu wengine ili wawagawe  ila waisilamu tuwe macho badala ya kushindwa kuwagwa waisilamu kwa madhehebu yao sasa wanajaribu kutumia tindi kali ili waitie fitna dhidi ya waisilamu
Wito kwa waisilamu tutumie macho mawili na ikibidi tutumie kuruizi (tochi) ili tumurike tuone tusije kuingia kizani
Mwishi ninaiomba serekali ya smz isije kuchanganya kutiwa tindi kali shekhe FADHIL SURAGA na  harakati za uamsho  na kuanza kukamata watu na kuwapiga na kuwafurushisha mbwa mbaya mbaya

No comments:

Post a Comment