Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein, akisalimiana na Makamo wa Rais Vietnam Bibi, Nguyen Thi
Doan,alipowasili Ikulu nchini Vietnam,akiwa na ujumbe wake katika ziara
rasmi ya Kiserikali nchini humo ya wiki moja
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwamamwema Shein, akisalimiana na Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi,
Nguyen Thi Doan,alipowasili Ikulu nchini Vietnam,alipofuatana na Rais
wa Zanzibar katika ziara Rasmi ya Kiserikali Nchini Vietnam ya wiki moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakipokea mashada ya mauwa kama ni
Ishara ya ukaribisho katika Ikulu ya Vietnam,alipofika kwa mazungumzo
na Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi, Nguyen Thi Doan,akiwa na ujumbe
wake katika ziara rasmi ya Kiserikali nchini humo ya wiki moja.[Picha
na Ramadhan Othman Vietnam.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein, akisalimiana na Mawaziri na Viongozi mbali mbali wa Nchini
Vietnam ,alipofika ikulu ya nchi hiyo kwa mazungumzo na Makamo wa Rais
Vietnam Bibi, Nguyen Thi Doan, akiwa katika ziara rasmi ya
Kiserikali nchini humo ya wiki moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein, akiwatambulisha Viongozi aliofuatana nao kwa Makamo wa Rais wa
Vietnam Bibi,Nguyen Thi Doan,walipowasili Ikulu ya nchi hiyo kwa
mazungumzo,ya kuimarisha uhusiano na Ushirikiano baina ya pande zote,
akiwa katika ziara rasmi ya wiki moja nchini humo.
Viongozi wa Serikali waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi wakiwa kwenye mkutano maalum na uongozi wa serikali
ya Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein,(katikati) akiwa ujumbe aliofuatana nao katika Mkutano maalum na
Uongozi wa Serikali ya Vietnam,ukiongozwa na Makamo wa Rais wa Nchi
hiyo Bibi Nguyen Thi Doan,(hawapo pichani) katika ukumbi wa Ikulu
,katika kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano baina ya pande mbili
hizo,katika ziara rasmi ya Kiserikali.
[Picha zote na Ramadhan Othman Vietnam.]
No comments:
Post a Comment